Tulipata nafasi ya kuhojiwa na wanahabari kutoka kituo cha KTN katika ofisi zetu humu jijini Nairobi siku ya jumatatu tarehe 19/02/2018. Msimamizi wetu wa kampeni za soko, Diana Wangui aliweza kuhojiwa kuhusu programu zetu zinazowalega wanafunzi katika shule za msingi. Programu hizi hulenga kuwasaidia wanafunzi kusoma na kujifunza kwa njia rahisi na changamfu.

Shukran kwa Sean, Tommy Lee na Sherylnn kwa kufanikiza mahojiano haya.

eLimu katika makala ya teknohama KTN!

Leave a comment